Neymar Jr afikisha idadi hii ya Magoli tangu Atue Barcelona - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Neymar Jr afikisha idadi hii ya Magoli tangu Atue Barcelona

Sifa pekee ya mchezaji uwanjani ni kuhakikisha anatimiza wajibu wake katika nafasi yake binafsi, hicho ndio kitu pekee kinacho zidi kumpa thamani nahodha ya timu ya taifa ya Brazil na winga wa Barcelona iliyoko nchini Hispania.

Neymar Jr anaingia katika vitabu vya orodha yya wachezaji wa brazili waliowahi kufikisha magoli 100 nazaidi najina la Neymar linakuwa la mwisho kwaidadi yake ya magoli 100 aliyoyatimiza wiki hii.

Bongoswaggz inakuchambulia magoli yake yote aliyoyapachika tangu alipoingia  kwenye timu hiyo ya Barcelona
  • La Liga----- 64
  • Champions League----21
  • Copa Del rey--------14
  • Supercopa Espana----1
  • Titulos-----------------9

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.