Ndoa ya Nuh Mziwanda Kukumbwa na Matatizo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ndoa ya Nuh Mziwanda Kukumbwa na Matatizo.

Nuh Mziwanda anaonekana mwenye furaha mitandaoni lakini ndoa yake sio shwari hata kamwe.

Sababu moja kuu ni uvutano uliyopo kati ya mke wake na familia yake ambayo haikufurahia Nuh Mzinwanda kiuingia uislamuni ili kumuoa.

Mama yake Nuh ndio aliadhirika ata zaidi kwa sababu yeye anafuata mambo ya kanisa sana.

Stori hii ilibainika wazi wakati Soudy Brown alipata kuzungumza na mke wa Nay katika U heard Cluds FM.

“Nilimwambia mama unachelewa, mwambie aniache. Na anajua kuwa mimi sijaolewa na mwanawe, ila anajua nimezaa tu na mwanawe. Kwenye sherehe ya harusi hakuwepo, alikuwa kwenye msiba. Yule mama ni mzee wa Kanisa, alikuwa anataka niende kanisani nibadili dini ndio niolewe.” Mama Anya alisema.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.