Nay wa Mitego kuhusu usalama wa maisha yake ulivyo kwa sasa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay wa Mitego kuhusu usalama wa maisha yake ulivyo kwa sasa

Siku kadhaa zimepita tangu msanii Nay wa Mitego kuachiwa huru, ambapo alikuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kutokuwa na maadili.
Msanii Nay wa Mitego aliachiwa huru baada ya agizo la Rais Dk. John Magufuli kupitia kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe lakini leo April 3 2017 Nay kupitia instagram account yake ameandika maneno yanayoashiria kuwa hayuko katika hali ya usalama.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.