Nay wa Mitego afunguka kuhusu usaliti juu ya Roma na wenzake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay wa Mitego afunguka kuhusu usaliti juu ya Roma na wenzake

MSANII wa Rap nchini Nay wa Mitego ameeleza kuwa kuna mtu wa karibu na msanii ambaye ni rafiki yao wa karibu ambaye kwa amewasaliti kutokana na kupewa fedha kama hongo ili afanye usaliti huo


hayo ameyaeleza kwenye mtandao wa picha Instagram kwenye akaunti yake inayokwenda kwa jina la neytrueboy
Naye wa Mitego alionekana kutupa dongo kizani bila kumtaja ni msanii gani au rafiki yao gani aliyeamua kumsaliti katika harakati za kudai kuchiwa huru kwa Roma Mkatoliki ambaye alitekwa na watu wa wasiojulikana na kupelekwa mahala pasipojulikana ukweli utelezwa leo na msanii huyo.

naytrueboy. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua.
#Wapo☝️

naytrueboy. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!
Mwana Katoa Bokoo.!

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.