Nape Nnauye aandika haya, baada ya kuuliza swali Bungeni leo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nape Nnauye aandika haya, baada ya kuuliza swali Bungeni leo

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo April 12, 2017 kipindi cha maswali na katika Mkutano wa Saba, Kikao cha Sita likiwa Bunge la Kumi na Moja ambapo miongoni mwa waliouliza maswali ni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye.

Baada ya kuuliza swali hilo, Nape Nnauye ameyaandika maneno manne katika account yake ya Twitter “Happily saving my Jimbo!” – Nape Nnauye.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.