Mwana Fa: Kapoke simu kutoka kwa Rais Magufuli, Kaachiwa Ujumbe huu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwana Fa: Kapoke simu kutoka kwa Rais Magufuli, Kaachiwa Ujumbe huu

Licha ya utendaji wake mahiri katika kazi yake ya kuliongoza taifa, hii ni habari mpya na njema kwa mkali wa bongo, hapa namzungumzia hitmaker wa ngoma ya 'Dume Suruali' aliyo mshirikisha mwanadada mrembo Vanessa Mdee.

Mwana Fa, alipokea simu kutoka kwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania Mh; John Pombe Magufuli na kumpongeza sana Mwana Fa na kumwambia huwa nafurahishwa sana na nyimbo zake na huwa namkonga moyo kwa aina yake ya uimbaji.

Kama ilivyo ada ya mzee wa falsafa naye ameamua kutujulisha kupitia ukurasa wake wa twitter na kuamua kuandika ujumbe huu aliachiwa na rais.
Nimefurahi kupokea simu ya Mheshimiwa Rais @MagufuliJP kunisalimia na kuniambia yeye ni mpenzi wa kazi zangu,haswa #DumeSuruali,” ametweet Mwana FA.

Ili kuhakikisha haupitwi na chochote kinachotokea bongo na nje pia Ingia Playstore kaipakue App ya Bongoswaggz ili uweze kusoma habari moja kwa moja kupitia simu yako

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.