Mtuhumiwa mauaji ya kimbari ahamishiwa Dar - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mtuhumiwa mauaji ya kimbari ahamishiwa Dar

Arusha. Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda Innocent Sagahutu amepelekwa makao makuu ya uhamiaji mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.

Sagahutu alikamatwa hivi karibuni eneo la mpaka wilayani  Ngara akidaiwa kujaribu kutoroka kuelekea Burundi.

Akizungumzia tukio hilo, Ofisa Uhamiaji mkoa wa Kagera Abdallah Tiwo alisema mtuhumiwa huyo amepelekwa makao makuu kwa ajili ya uchunguzi. 

"Ni kweli alikuwa anashikiliwa na uhamiaji mkoa wa Kagera,ila kwa sasa anaelekea Dar es salaam makao makuu ya uhamiaji." alisema

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.