Movie: Fast & Furious 8 Kutoka April 8 ya mwezi huu. Vin Diesel Amuweka Mrithi wa Paul walker - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Movie: Fast & Furious 8 Kutoka April 8 ya mwezi huu. Vin Diesel Amuweka Mrithi wa Paul walker

Kama utakuwa ni mpenzi wa movie basi bila shaka movie ya Fast & Furious utakuwa umeshaweza kuisikia na kuitazama na kina ambacho ungeweza kukijua ni kwamba muendelezo wa muvie hiyo unaendelea ingawaje hii ndio inaweza kuwa final.
Katika movie hiyo unaeza kuona mabadiliko ya watu kadhaa na kikubwa na cha kustaajabisha Poul walker anaweza kuonekana kama kimvuli katika movie hiyo akiwa amesimama mdogo wake katika movie hiyo.

April 8 ya mwezi huu movie hiyo ya sahemu ya 8 itaachiwa na Bongoswaggz inakusogezea kitu muhimu ambacho ungepeswa kukiona kwenye movie hiyo.
Kila mtu anajua taarifa za kifo cha Paul Wolker na kama unavyotazama pichani hizo ni picha za ndugu wa wili za marehemu huyo na mmoja kati yao atatumika katika picha hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.