Movie: fast and furious 8 yavunja Rekodi Duniani yaingiza zaidi ya $532m - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Movie: fast and furious 8 yavunja Rekodi Duniani yaingiza zaidi ya $532m

MnamoApril 8 wapenda movie walipata kujionea final ya movie ya 'Fast & Furious' iliyosimamiwana Univesity film ya nchini Marekani.

Kitu pekee ambacho unapaswakukijua kuhusiana na movie hii iliyotoka ndani ya wiki mbili hizi ni kwanza, Tayari movie hiyo imeshaweka rekodi ya pekee ya kidunia kwenye 'Box office', na imeshaingiza kiasi cha $532m ikiwa ni ndani ya wiki mbili tu tangu itoke.

Ndani ya movie hiyo tumefanikiwa kuwaona wasanii mahiri kama Vin Diesel, Dwayne Johnson, Michelle Rodriguez, Jason Statham, Tyrese Gibson, Chris “Ludacris” Bridges, Nathalie Emmanuel, Elsa Pataky, Kurt Russell, Scott Eastwood, Charlize Theron na Helen Mirren. ndio walio fanikiwa kuimaliza Fast&Furious 8.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.