Mourimho awaangushia 'zigo' washambuliaji wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mourimho awaangushia 'zigo' washambuliaji wake

Meneja wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amewalaumu washambuliaji wa yimu yake ya Manchester United katika mechi dhidi ya Anderlecht baada ya timu hiyo kusawazisha katika dakika za mwisho za mechi ya robo fainali ya kombe la Yuropa.

United iliongoza 1-0 nchini Ubelgiji hadi dakika 86 wakati waandalizi wa mechi hiyo waliposawazisha ikiwa ni shambulio lao la kwanza.

''Iwapo ningekuwa mlinzi wa man united ningekasirishwa sana na washambuliaji,alisema Mourinho''.
''Mabeki walifanya kazi ya kutosha lakini washambuliaji wakashindwa kuamua matokeo ya mechi hiyo'',alisema Mourinho

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.