Mkaliwenu ndio Mchekeshaji Bora wa Instagram - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mkaliwenu ndio Mchekeshaji Bora wa Instagram

Kama utakuwa ni mfuatiliaji wa mitandao tayari utakuwa umeweza kukutana na kichekesho na mchekeshaji mpya anaefanya vizuri kwa sasa anaekwenda kwa jina la Mkaliwenu, anaejizolea umaarufu kila kukicha kwa video zake .

Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na shindano la kutafuta mchekeshaji wa instagram na imekuwa bahati njema mwaka wake wa kwanza katika tasnia ya uchekeshaji anafanikiwa kuchukua tuzo ya mchekeshji bora wa instagram.

Bongoswaggz inakusogezea video fupi ujionee jinsi Mkaliwenu alivyochukua tuzo na kufanya kioja chake

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.