Meseji ya Shilole kwa Wanaume wanaolelewa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Meseji ya Shilole kwa Wanaume wanaolelewa

From @shilolekiuno_badgirlshishi 
Yan nilipe hotel mimi
Ninunue chakula na nguo mimi
Bado nikupe na pesa mimi 
Hivi mpk hapo nani mwanaume kati yangu na wewe?

Kwanini ukileta ujinga usile tu vibao yani. 

Mwanaume majukumu ukiona yamekushinda kubali tu yote...kupigwa, watu kukusaidia kazi na vinginevyo.

Hii Imejipost jamani #hatutoikiki

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.