Mashabiki wa Yanga mmesikia alichokisema Manara? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mashabiki wa Yanga mmesikia alichokisema Manara?

Baada ya Yanga kutupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inayojulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kufuatia kipigo cha 1-0 kutoka kwa Mbao FC katika mchezo wa Nusu Fainali jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Basi Haji Manara wa Simba ameposti ujumbe huu

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.