MANGE Kimambi Amvaa Diamond Platnumz..Adai Anatumika Vibaya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

MANGE Kimambi Amvaa Diamond Platnumz..Adai Anatumika Vibaya

Mange Kimambi hajapendezwa na Wimbo mpya wa Diamond "Acha nikae Kimya" Amemshukia Diamond Kama Ifuatavyo:

"We pumbu unatumika vibayaaaaaa.Hiyo kitu ya kuwatishia watanzania na vita sijui ukosefu wa amani CCM washaitumia for many years kuwatisha watanzania.Watu wakitaka mabadiliko gia Yao ya kwanza ni kuwatishia kuwa amani itapotea. Acha ipoteeee, Amani ya kisenge ya nyinyi wachache kutajirika kujenga mastate house sijui ushenzi gani Huku wengine wanasaga meno tumeichoka.wewe Dai umeshashiba huoni shida ya wengine lazma utake Amani, kamuulize anaeshinda mlo mmoja kama kuna Amani Tz?

You call this Amani? Amani ya vyama vya siasa kunyimwa kufanya mikutano ya hadhara, Amani ya Wa Bunge wa upinzani kufungwa jela kila siku? Amani ya vyombo vya habari kuvamiwa kwa mitutu? Amani ya wananchi kutajwa kama wauza unga ili waibiwe mali zao? Amani ya watz kutishiwa kuuwawa sababu ya kuandamana kitu ambacho kinaruhusiwa kikatiba?Amani ya wasaniii kutekwa sababu kiongozi anatafuta Kiki za kisenge, Hiyo Amani ya kisenge hatuitaki. Dai Ungemsikilzia mamako na unyamazeeee.Ndio sisi watz tulio nje ya Tz ndo tunaongea sana , hilo tu ni ushahidi tosha kuwa Tz hakuna Amani kwanini walioko ndani waogope kusema tuseme sisi tulioko nje?

Dai embu tuliza pumbu hizo! Kama umekosa cha kufanya kamtie Mimba Zari mfanye arobaini maana ndo kiki ulizobakiza siku hizi.Kwenye issue za msingi usilete pumbu zako. Fala wewe!" Mange Kimambi

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.