Man United yashidwa kutamba kwa Man City. Fellain Awazingua wenzie. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Man United yashidwa kutamba kwa Man City. Fellain Awazingua wenzie.

Usiku wa kuamkia leo ulitambulika  kama Manchester Derby ambapo ulikuwa unazikutanisha Manchester united katika uwanja wa nyumbani wa Manchester City uliopewa jina la Ethard.

Mechi ilikuwa ngumu sana hasa baada ya kukosekaba kwa washambuliaji wake tegemezi kwa Manchester United jambo lililowapa nguvu wachezaji wa City kuwa golini mwa Man United muda wote.
Mnamo dakika ya 87 kiungo wa kati wa timu ya Manchester United akipata adhabu ya red card baada ya kumchezea ndivyo sivyo Aguero na kupata adhabu ya kwenda nje.

Kitendo alichokifanya Fellaini huwebda kikamuweka katika hali nzito zaidi katika kanuni za soka na katika kilabu yake pia baada ya kuonekana amemkwaza mpaka kocha wake Jose Mohninho.

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kukoment baada ya kuitazama Manchester United usiku wa leo na je Redcard ya Fellain ameonewa ama amejitakia mwenyewe

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.