Mama adai baada ya mwanae kutekwa hataki tena afanye muziki - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mama adai baada ya mwanae kutekwa hataki tena afanye muziki

Mama mzazi wa msanii wa muziki Moni, Fatma Salehe amedai baada tukio la mwanae kutekwa hataki tena ajihusishe na masula ya muziki
Moni na Roma pamoja na wenzake wawili walitekwa Alhamisi hii na watu wasiojulika na wakiwa katika studio za Tongwe Record Masaki Jijini Dar es salaam.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.