Malkia Elizabeth II wa Uingereza Atimiza Miaka 91, Fahamu Uwezo na Sifa Zake za Kipekee. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Malkia Elizabeth II wa Uingereza Atimiza Miaka 91, Fahamu Uwezo na Sifa Zake za Kipekee.

Tarehe ya leo (21 mwezi wa April) ni siku ya kumbukumbu na mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa mtoto wa kwanza wa mfalme wa Uingereza Georg VI na Elizabeth Bowes-Lyon ‘Malikia wa Uingereza Elisabeth II’ miaka 91 iliyopita.

Malikia Elizabeth alitangazwa kuwa malikia tarehe 6 mwezi wa pili mwaka 1952 mara baada ya kifo cha baba yake mzee George VI taarifa ambazo zilimkuta katika ziara yake nchini Kenya na mara tu baada ya kutangazwa kuwa Malkia alipewa ulinzi madhabuti pale pale.

Kwa nafasi hiyo ya umalkia nimekuwekea mambo 10 ambayo ana uwezo, sifa na nguvu ya kuyafanya.

1. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia.
2. Anaweza kusafiri bila passport nje ya nchi.

3. Ana uwezo wa kuendesha gari pasipo kuwa na leseni.

4. Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela.

5. Mbali na yeye kuwa malkia wa Uingereza lakini pia ni malkia wa Australia.

6. Mbali kuwa na uwezo kiutawala ndani ya Uingereza na Australia pia anaongoza nchi nyingine ambazo ni Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Antigua and Barbuda, the Bahamas, BarbadosSaint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.

7. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia

8. Kuna sheria inayomlinda kutoshitakiwa kwa kosa lolote

9. Anamiliki ndege binafsi aina ya swans, kongoro katika mto thames.

10. Ana sherehekea siku mbili za kuzaliwa ikiwa ni tarehe 21 ya mwezi April na siku ya jumamosi ya mwezi Julai.

Kutokana na hayo machache yaliyotajwa Malkia Elizabeth anatajwa kuwa kiongozi mwenye nguzu zaidi ya uongozi na kimamlaka duniani.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.