Lionel Messi aiweka Rekodi mpya Mbele ya Real Madrid - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lionel Messi aiweka Rekodi mpya Mbele ya Real Madrid

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa Elclasico ambapo tuliwashuhudia mahasimu wawili kutoka jiji la hispania wakitoana jasho dakika 90 za mpira na timu ya Barcelona kuipuka na ushindi wa goli tatu.

BongoSwaggz inakutaarifu kuwa siku ya jana ilikuwa ni siku pekee kabisa kwa lionel Messi kwa kuweza kuiweka rekodi mpya tena mbele ya real madrid kwa kufikisha idadi ya magoli mitatano 500.

Real Madrid walikuwa wakwanza kuzitikisa nyavu za Barcelona na baadae messi akazitingisha za real. mnamo dakika 73 Ivan Rakitic alifanikiwa kuiongozea Barcelona goli la pili lakini mshambuliaji kutokea benchi James Rodrigues alifanikiwa kuisawazisha goli hilo.
Baada ya kuifanya mechi kuwa sare kuta za real madrid zilikuwa nyepesi baada ya beki wao Ramos kulimwa kati nyekundu jambo ambalo lilimfanya lionel Messi kushindilia msumari wa tatu na kuwaacha real na goli moja na kutimiza idadi ya magoli 500.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.