Lameck Ditto: Mziki wa Bongo Fleva Utadumu Vizazi na Vizani Sio Rahisi Kutoweka - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lameck Ditto: Mziki wa Bongo Fleva Utadumu Vizazi na Vizani Sio Rahisi Kutoweka

Mziki ni chakula bora cha nafsi hasa unapokutana na ngoma ambayo inaukonga moyo wako ipasavyo, na hapo ndiomaana ya neno'Mziki mzuri' inapojongea katika akili yako.

Msanii bora wa mwezi anaetamba na kigongo cha Moyo Sukuma damu, amewakata maini watu wanaotegemea mziki wa bongo fleva unaweza kutowea Tanzania.

"Mzikiwa bongo fleva utaishi vizazi na vizazi kutokana na lugha inayotumikani kiswahili na kiswahili ni lugha inayokuwa kwa kwasi na hiyo itawafanya watu engi ulimwenguni waupende mziki wetu" alimaliza kwa kusema hivyo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.