Kolabo ya Joh Makini na Davido kutoka Hivi karibuni, Davido ayaandika haya. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kolabo ya Joh Makini na Davido kutoka Hivi karibuni, Davido ayaandika haya.

Hitmaker wa ngoma ya 'waya' anaetokea kwenye kundi la weusi, msanii Joh Makini sasa yuko mbioni kuitimiza adhma yake ya kufanya kolabo na msanii wa kutoka pande za Nigeria. Kama utakuwa ni mpekuzi mzuri wa mitandao ya kijamii tayari utakuwa umeweza kukutana na post ya Davido akiashiria ukamilifu wa ngoma hiyo.

Bongoswaggz inakusogezea post ya mkali huyo kutoka pande za Nigeria aliyewahi ku-hit na ngoma ya Skelewu.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.