Kikosi cha Yanga dhidi ya Tanzania Prisons FC leo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kikosi cha Yanga dhidi ya Tanzania Prisons FC leo

Kikosi cha Yanga


Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Young Africans leo wanashuka dimbani kuvaana na Tanzania Prisons FC katika hatua ya robo fainali ya nne ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara utakaofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Jijini Dsm

Hata hivyo uongozi wa timu ya Yanga umeweka hadharani kikosi chake cha maangamizi dhidi ya Wajelajela huku wakijitapa kutumia mfumo wa 4-4-2,

Kikosi hicho ni kama ifuatavyo;

1. Beno Kakolanya

2. Hassani Kessy

3. Haji Mwinyi

4. Kelvin Yondani

5. Nadir Haroub

6. Juma Makapu

7. Saimoni Msuva

8. Thabani Kamusoko

9. Obrey Chirwa

10. Amisi Tambwe

11. Geofrey Mwashuiya

Akiba -

-Deogratius Munishi

- Oscar Joshua - Andrew Vicent - Juma Mahadhi

- Antony Matheo

- Yusufu Mhiru

- Emanuel Martin

Kwa upande mwingine, timu itakayoibuka na ushindi siku ya leo itaweza kuungana na timu nyingine tatu ambazo tayari zimefuzu kwa hatua ya Nusu Fainali ambazo ni Mbao FC, Simba SC pamoja na Azam FC.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.