Joh Makini: Davido Ndiye Aliyenicheki Kwa Ajili ya Video ya Colabo Yetu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Joh Makini: Davido Ndiye Aliyenicheki Kwa Ajili ya Video ya Colabo Yetu.

Joh Makini amesema ni Davido ndiye aliyemsisitizia Joh Makini wafanye video ya collabo yao muda huu.

“Actually yeye ndiye alinicheki mimi kwa it’s a time ya kufanya hii ngoma,” Joh alimuambia mtangazaji wa Jembe FM, JJ.

“Alinicheki bwana ‘vipi Joh unaonaje this time tukifanya video ya huu wimbo utoke’, nikamuambia why not bana, tukapanga tukaja South tukafanya video,” ameongeza.

“Kwahiyo imekuwa rahisi kwasababu yeye ndiye alinicheck na by the time ananicheki tayari alikuwa na plan zake za kuja SA,” ameongeza Joh na kudai kuwa kwake yeye pia ulikuwa wasaa mzuri na hawakutaka kukurupuka.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.