JB: Simfahamu Nay wa Mitego Wala Sisikilizagi Bongo Fleva - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

JB: Simfahamu Nay wa Mitego Wala Sisikilizagi Bongo Fleva

JB amedai hamfahamu mwanamuziki huyo na wala hasikilizagi bongo fleva, ila kwa kauli yake hiyo amesema anampenda sana japo amemdiss.

Yeye pamoja na kusema hasikilizi Bongo Flevaila hawachukii wanamuziki wa Bongo Fleva.


Pia amesema sio kwamba hawataki movie za nje zisije ila wanataka zilipe kodi kama wao wanavyofanya, kwa kuwa mtu anadownload movie ya nje kisha anaizalisha copy nyingi na kuiuza bila kulipa kodi na amesema hii ikiendelea na wao hawatalipa kodi kwa movie zao pia.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.