Jacqueline Mengi apata Tuzo mbili za Ubunifu toka Italy - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jacqueline Mengi apata Tuzo mbili za Ubunifu toka Italy

Good news nyingine leo ni hii ya tuzo mbili za ubunifu alizopewa Mtanzania Jacqueline Mengi ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000 na sasa ameamua kuwa mfanyabiashara wa Furnitures za kisasa zinazobuniwa kwa kiasi kikubwa hapa hapa Tanzania.

Jacqueline ametunukiwa tuzo hizo mbili kutoka Italy zikiwa ni za Furnitures zenye ubunifu wa kipekee na Taa zenye utofauti

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.