Isikupite hii kutoka kwa Diamond Platnumz itakapofika mwezi wa saba - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Isikupite hii kutoka kwa Diamond Platnumz itakapofika mwezi wa saba

Hii ni taarifa maalum kutoka kwa Diamond Platnumz ambayo inamuhusu kila alieshabikia yake na mpenda burudani wa mzikiwa hapa nyumbani Tanzania

Hitmake huyo wa 'Marry you' aliyomshirikisha Ne-yo ameitangaza live show yake ambayo ataipiga na Future kutoka marekani pindi itakapotimia mwezi wa saba mnamo tareehe 24.

Bongoswaggz inainasa video ya siri hii kutoka kwa Diamond na inakupanafasi ya kuwa wa kwanza kuitazama. Enjoy then make money for show


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.