Idris Sultan: Wema sepetu nitakunyoosha Mwaka huu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Idris Sultan: Wema sepetu nitakunyoosha Mwaka huu.

Aliyewahi kuwa mchumba wa mwanadada the sweethart tz mrembo Wema sepetu amejikuta akiwekwa mtu kati na aliyekuwa mchumba wake siku zilizopita Idis sultan.

Kupitia mtandao wa instagram wa Idria Sultan alipost picha akiwa ameshika pempas za watoto jambo ambalo wema sepetu alikoment na kujikuta anaingia mikononi mwa mchekeshaji huyo kwa kumuahidi atamnyoosha baada ya kushidwa kupitia mpango wa nyuma yaan DM.
Bongoswaggz inakusogezea muunganiko wa post za wawili hao kupitia mtandao wa instagram.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.