Hussein Bashe awataka wabunge wa CCM Waache Unafiki - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hussein Bashe awataka wabunge wa CCM Waache Unafiki

Mbunge wa Nzega Mjini(CCM) Hussein Bashe amewataka wabunge wa CCM  kuacha unafiki kuhusu kuwateka watu na kwamba yeye ni mmoja wa watu waliokamatwa  na usalama wa taifa wakati wa mkutano Mkuu wa CCM.

"CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama". Amesema Bashe

Bashe alikuja juu baada Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene kumtaka Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuthibitisha kuwa matukio ya ukamataji yanafanywa na usalama wa Taifa

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.