Haya ndio Majibu ya Halima Mdee kwa Gwajima - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Haya ndio Majibu ya Halima Mdee kwa Gwajima

Mbunge wa Kawe Halima Mdee amejibu kile alichotuhumiwa na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Askafu  Josephat Gwajima kuwa anamuheshimu sana  mchungaji huyo.
Mdee ameelza kwenye akaunti yake ya Twitwer kuwa hakumtukana Spika wa bunge na wala hatarajii kumtukana
Namuheshimu sana Mch.Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika. https://twitter.com/mitandaonblog/status/851079630094299136 
Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO. https://twitter.com/mitandaonblog/status/851079630094299136 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.