Harmorapa: Mimi ni 'StrongWoman' na ninajiamini - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmorapa: Mimi ni 'StrongWoman' na ninajiamini

Hitmake wa ngoma ya 'Kiboko ya mabisho' aliyomshirikisha Juma nature, hapa namzungumzia Harmorapa msanii ambaendio anaekiki kwa kwasi zaidi siku hadi siku tangu aingie katika tasnia ya muziki wa bongo.


Kupitia kipindi cha kikaangoni ya Harmorapa alishidwa kabisa kuificha elimu yake alipoulizwa nahata maelezo yake yalikuwa magumu hasa alipojikuta anajaribu kujibu kwa kingereza na mwishoe akajikuta anasemanyeye ni 'Strong woman' ikimaanisha yeye ni mwanamke wa nguvu je? Harmorapa na mwanamke? Icheck video hapa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.