Harmonize Anawekwa Mjini na Demu wa Kizungu, Yadaiwa Ameachana na Jackline Wolper - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmonize Anawekwa Mjini na Demu wa Kizungu, Yadaiwa Ameachana na Jackline Wolper

Kwa story za kunyapia nyapia zinadai kuwa harmonize na wolper gambe washabwagana na kila mtu kachukua 50 zake na kwa ubuyu unaosambaa mjini unadai kuwa Dogo kapata mtt mkaliii wa kitaliano anajulikana kwa jina la sarah na tyari yupo mimba....so mda cyo mrefu harmonize ataitwa baba......demu nasikia anamkwanja wa kutosha ndo anaempa jeuri harmonize apa mjini ndo maana kila siku anabadili dinga tu mara Prado mara Audi.

Hongera sana mmakonde kama izo story ni za kweli.....endelea kuliwakilisha taifa kwa huyo muitaliano.


 SIKILIZA HAPA:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.