Harmonaze Hana Jeuri ya Kuniacha - Wolper - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmonaze Hana Jeuri ya Kuniacha - Wolper

JACK Wolper amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa mwanamuziki wa kizazi kipya Harmonaze hana uwezo wa kumuacha kimapenzi pamoja na tetesi ambazo usikika kama mwanamuziki huyo kuwa na warembo wengine anaotoka nao kimapenzi.

“Wengi wanaongea sana kuhusu mpenzi wangu kama anatoka na wanawake wengi pengine inaweza kuwa ndio sababu ya kuniacha mimi hicho hakiwezekana wanaongea kama kuna wasichana wanajipendekeza watachezewa tu,”alisema Jack Wolper.
Msanii huyo anasema kuwa ni kweli amekuwa akigombana na mpenzi wake huyo mara kwa mara kwa sababu yeye hawezi kuvumilia anapopata anapokosewa akisikia tu ukurupuka na kufanya maamuzi mabaya hivyo Harmonaze hana uwezo wa kumwacha kwani yeye ni muhimu kwake.
Filamu Central

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.