Hanscana:- Namchukia Msanii anae-copy Idea za Nje na kuzileta Bongo. Atoa Ujumbe Huu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hanscana:- Namchukia Msanii anae-copy Idea za Nje na kuzileta Bongo. Atoa Ujumbe Huu.

Director Hanscana amewafungukia wasanii wanaocopy idea za nje na kuzileta hapa nyumbani ikiwa ni njia ya wao kupendezesha video zao na kazi yao ya mziki kwa hapa bongo.

Muongozaji huyo wa video nyingi hapa bongo amewataka wasanii kutokutia mawazo katikavideo za watu (Copy & Past) na kujaribu kufanya mawazo mapya katika video zetu ili sanaa yetu ya hapa bongo iweze kuonekana ni bora zaidi na kuenea zaid.

kupitia ukurasa wake wa instagram Hanscana alitumia kuwaasa wasanii na kuonyesha dhamira yake katika tasnia ya muziki wa hapa bongo.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.