Fid Q: Siku Mnyima Namba yangu ya simu Edu Boy, ila Alitaka kiki ya Nyimbo yake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Fid Q: Siku Mnyima Namba yangu ya simu Edu Boy, ila Alitaka kiki ya Nyimbo yake.

Hivi unaikumbuka ile ngoma ya rapper Edu Boy aliyomshirikisha Billnass. Ambayo imetoka wiki kadhaa nyuma.

Jana katika kipindi cha Leo tena  cha clouds fm . Fid Q alifunguka sababu za yeye kuchanwa kwenye nyimbo ya 'Naiye' ya Edu Boy

Sijawahi kujuta kumnyima Edu Boy number yangu, kwasababu number yangu sio ya taifa! Kibaya zaidi sikuwa namfahamu kwahiyo sidhani kama nilifanya makosa! ● Alichokifanya kuniimba kwenye ngoma yake sijaona kama kakosea, nahisi alikuwa anatafuta attention kwenye ngoma yake”

Ili usipitwe na story zote zinazokiki mitandaoni hakikisha unaipakuwa App ya bongoswaggz inayopatikana Playstore

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.