Faiza Ally Asema Anatarajia Mtoto wa Kiume. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Faiza Ally Asema Anatarajia Mtoto wa Kiume.

Mwanadada Faiza Ally aliye kuwa mke wa Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anatarajia mtoto wa pili na mpenzi wake ambaye bado hajamueka mtandaoni wake wa Instagram.

Faiza ambaye amekuwa maarufu kutokana na mavazi yake ya kushtua hapo kitambo alitangaza kuwa ako mjamzito na mtoto wake wa pili kupitia mtandao wako wa Instagram huku pia akimsifu mwanae wa kwanza, Sasha kwa kuwa rafiki wake wa karibu.

Faiza Ally Aliandika kwa kusema…

"Sasha is so happy she is gonna have a baby brother … ameshampa jina la junior sasa namuuliza kwa nn junior? akasema eti there is boy at school his name is junior 😄😄 and she like him he is nice boy 😆😆😆 sijui ndio mkwe any way I have no choice dada ndio keshampa jina kaka yake @sashadesderia thank you for being my best friend 😘😘😘😘 love you my mwanangu u will be always my number 1"

Hata hivyo mashabiki wake bado wanangoja Faiza Ally kumtambulisha mpenzi wake wa sasa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.