Diamond Platnumz Atoa Onyo Kwa Wanawe Tiffah na Nillan. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Atoa Onyo Kwa Wanawe Tiffah na Nillan.


Diamond Platnumz akitumia mtandao wa instagram ametoa onyo kali kwa wanawe Tiffah na Nillan.

Amewaomba wakikuwa watumie midomo yao vizuri na si kuyaongelea mambo ya watu.

Sababu zake kufanya hivo bado hazijajulikana lakini ni tamaduni kwa waafrika kukashifu watu wanaopenda mambo ya watu wengine.

Huu ndio ujumbe kamili wa Diamond >> Prince & Princess Lion!!!.. Midomo mkaitumie vizuri hiyo watoto.... @princenillan @princess_tiffah''

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.