Diamond Platnumz amuomba msamaha Gwajima - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz amuomba msamaha Gwajima

Diamond amemuomba msamaha kupitia ukurasa wake wa Instagram kwambaa..
Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba😟..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."

Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini  kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja,  lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?😭

Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho 👐, mana nakujua mzee wa single touch ukimuamulia mtu.... naweza  jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima😁😆😅
 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.