Diamond Platnumz abadili muonekano wa nywele zake. check alivyo badilika - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz abadili muonekano wa nywele zake. check alivyo badilika

Msanii anaefanya vizuri ndani ya bongo hata nje pia Diamond Platnumz aamua kuubadili muonekano wake baada ya kudumu nao zaidi ya miezi mitatu. Hitmaker huyo ambae anahit na kibao cha nikae kimya ngoma aliyoitoa wiki tatu zilizopita.

Kupitia ukurasa wa Instagram Diamond Platnumz aliamua kuyaandika haya kuhusiana na muonekano wake mpya .
@diamondplatnumzHad to change my hairstyle today... taking you to the Old Platnumz... Ready for my Heart Broken Hits!!!!!

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kutuachia Comment yako Je? Amependeza au haijampendeza

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.