Diamond Awafunga Midomo Wanaodai Nillah Sio Mtoto Wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Awafunga Midomo Wanaodai Nillah Sio Mtoto Wake

Kupitia mtandao wa Instagram, msanii Diamond Platimuz ameweka picha za watoto wake, Tiffah na Nillan na kuandika maneno akiwaasa watumie vyema midomo yao.
Prince & Princess Lion!!!.. Midomo mkaitumie vizuri hiyo watoto….😊-Diamond ameandika
Ujumbe amabao wengi wamaeuchukulia kuwa ni jibu kwa wale wote ambao walikuwa wakidai kuwa Nillan siyo mtoto Diamond na kuwa ni mtoto wa Ivan ambaye ni mzazi mwezie na Zari.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.