Diamond, Alikiba wamegoma kuimba Wimbo wa kuisapoti Serengeti Boys - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond, Alikiba wamegoma kuimba Wimbo wa kuisapoti Serengeti Boys

 Kupitia ukurasa wake wa Twitter Maulidi Kitenge ameandika hivi... "Kiba na Diamond wameshindwa kuonesha uzalendo kwa Serengeti Boys wamegoma kuimba wimbo wa hamasa licha kuwepo kamati ya hamasa.inasikitisha"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.