BREAKING: Roma Mkatoliki na wenzake wameondolewa Polisi Osterbay - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

BREAKING: Roma Mkatoliki na wenzake wameondolewa Polisi Osterbay

Roma Mkatoliki na wenzake wameondolewa Polisi Osterbay na kupelekwa Mwananyamala Hosp. kuangaliwa afya zao.

Hatua hiyo imefuata baada ya kuhojiwa kituoni hapo kwa saa kadhaa, baada ya kuripotiwa kutekwa tangu siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.