BREAKING NEWS: Askofu Gwajima aachiwa huru na Mahakama. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

BREAKING NEWS: Askofu Gwajima aachiwa huru na Mahakama.

Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuchia huru Mchungaji wa kanisa LA Ufufuo na Uzima Askofu Josephat Gwajima kufuatia kosa la Kutoa Lugha ya Matusi Dhidi  ya  Muadhama  Polycap Kardinal Pengo mnamo mwaka 2015.

Chini ya  chini ya Hakimu mfawidhi Cyprian Mkeha Mahakama imeamuchia Askofu Gwajima kwa mujibu wa kifungu cha sheria ya 225 ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.