BASATA yatoa sababu yakutofanyika kwa tuzo za KTMA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

BASATA yatoa sababu yakutofanyika kwa tuzo za KTMA

Miongoni mwa maswali mengi yalikuwa yakiulizwa na watu wengi ni kuhusiana na utoaji wa tuzo za KTMA, sasa leo April 4, 2017 Mkuu wa matukio ya sanaa kutoka BASATA, Kurwijira Maregesi kayaongea kwa mara ya kwanza na kueleza sababu za kutofanyika kw tuzo za hizo na vile ambavyo watu wengi utarajia kufanyika kwa kila mwaka.

TBL iliacha kudhamini baada ya kuuzwa kwa mtu mwingine kwahiyo yule mtu aliekuja kumiliki TBL akuweza kufanya maamuzi yaliyokuwa yakifanywa na kama na yule wa mwanzo lakini pia sasa hivi kuna mpango wa kutafuta mdhamini wa Tanzania Music Awards naomba tu watu wavumilie’- Kurwijira Maregesi

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.