Barcelona Yashinda 3-2 Nyumbani La Liga - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Barcelona Yashinda 3-2 Nyumbani La Liga

Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 17 na 38 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Real-Sociedad usiku wa Jumamosi Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca limefungwa na Paco Alcacer dakika ya 44 wakati mabao ya Sociedad yamefungwa na Samuel Umtiti aliyejifunga dakika ya 42 na Xabi Prieto dakika ya 45 na ushee.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.