Baraka The Prince Azungumzia Ujio wa Albam yake Kwa mara ya Kwanza - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baraka The Prince Azungumzia Ujio wa Albam yake Kwa mara ya Kwanza

Hitmaker wa ngoma ya 'Acha niende' anaesimamiwa na lebo ya RockStar4000, ameizungumzia ujio wa albam yake kwa mara ya kwanza tangu alipo angusha wino na lebo hiyo.

Baraka amezungumza na Enews na kusema kuwa mashabiki zake wakae mkao wakula kwa ujio wa albam yake ambayo ni kawaida na heshima kwa msanii aliyekwenye lebo ya RockStar4000.

Bongoswaggz inajikamilisha na kukuakikishia kukupa Update zote kuhusiana na ujio wa albam hiyo. unachopaswa ni kuipakuwa App ya Bongoswaggz inayopatikana Playstore ili uwe wakwanza kuipata.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.