Audio: Yamoto Band - Basi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Yamoto Band - Basi

Baada ya ukimya wa muda mrefu na taarifa kadhaa kutoka kwenye kundi hili linalofanya vyema katika mziki wa bongo, Yamoto Band leo wamekuja na zawai hii ya 'Basi'.


Bongoswaggz inakudropishia ngoma hiyo kutoka kwa wakali hao wanaosimamiwa na Said Fella, na hii ni ngoma yao nyingine iliyopikwa vyema na Producer Lizer kutoka kwenye studio za wasafi rec.
https://my.notjustok.com/track/201193/yamoto-band-basi
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.