Audio; Darassa - Utanitoa Roho - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio; Darassa - Utanitoa Roho

Baada ya kuachia nyimbo ambayo imechukuliwa kama mwimbo wa taifa hii ni zawadi nyingine kutoka kwa msanii Darassa na hiki kionjo cha utanitoa roho.

Kama ni ainapekee ya uimbaji basi style aliyonayo msanii Darassa itamfanya adumu zaidi katika tasnia ya mziki wa bongo na Bongoswaggz inakupa nafasi na kuinjoika na ngoma hiyo.
https://my.notjustok.com/track/202100/darassa-utanitoa-roho

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.