Audio: Bill Nass ft Young Killer & Stamina - Aje Mwenyewe - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Bill Nass ft Young Killer & Stamina - Aje Mwenyewe

Baada ya kukataa mazowea hiini nyingine kutoka kwa Billnass, ambae anafanya vizuri kwasasa katika game la mziki hapa bongo na hii ni mpya aliechanganya mchanga wa morogoro na mwanza na kuja na hii ya 'Aje Mwenyewe'

Bongoswaggz inakusogezea ngoma mpya ya Billnass aliyomshirikisha Young Killer na Stamina na kuipa jina la 'Aje mwenyewe' ngoma iliyopokwa kwenye studio za Kill Records. Enjoy
https://my.notjustok.com/track/205702/billnass-ft-young-killer-stamina-aje-mwenyewe

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.