Audio: Aslay - Marioo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Aslay - Marioo

Sasa hapa huwenda tukaanza kumsahau Aslay aliekuwa kwenye bendi mahiri ya yamoto band, na kumtizama kama msanii anaekuja kwa kasi zaid kwa kila ngoma yake anayotoa inakuwa hitsong.

Bongoswaggz inakusogezea wimbo mpya wa Aslau aliyoupa jina la 'Mario' ikiwa ni ngoma ya pili kutoka ndani ya wiki moja huku 'Angekuwepo' akiwa bado inafanya vizuri. Enjoy
https://my.notjustok.com/track/download/id/206542

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.