Audio: Aslay Angekuona - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Aslay Angekuona

Acha na ngoma ya 'Kidawa' ambayo imebamba kinomanoma hii ni nyingine kali kutoka kwa kijana wa dhahabu kutoka kundi la Yamoto Band. Hapa namzungumzia Aslay ambae kwasasa ameamua kusimamia mguu mmoja katika game hili la muziki.

Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuisikiliza ngoma hiyo iliyopewa jina la 'Angekuona' ikiwa ni ngoma ya tatu kuifanya akiwa nje ya kundi lake la YamotoBand.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.