AT na Msami Bifu lao la kugombea Demu lafikia Hapa. Isome habari hii isikupite. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

AT na Msami Bifu lao la kugombea Demu lafikia Hapa. Isome habari hii isikupite.

Siku mbili zilizopita iliripotiwa taarifa ya wasanii wawili wa muziki wa bongo fleva kuwa wameingia katika bifu kubwa la kumgombania mwanamke mmoja kama alivyosema Msami.

Ilisemekana kuwa tifu likianza baada ya namba ya mwanamke wa AT imekutwa ikiishi ndani ya simu ya Msami baby na kuwa chanzo cha wawili hao kuwa katika bifu zito.

Bongoswagz imeyakamata maneno aliyoyasema AT kuhusiana na bifu hilo na ameamua kumpasha Msami kama kawaida yake msanii huyo anaefanya vizuri kwebye miondoko ya mduwara.


Ukweli, sababu sio mwanamke. Mwanaume ukigombania mwanamke haileti picha. Siwezi kugombania mwanamke na Msami. Msami anachukua wanawake au anachukuwa watu walioumbwa? Labda yeye anatafuta njia ya kunitafuta. Mwanamke gani nitamgombania na Msami halafu nichukue simu nikute namba yake nianze kupigizana naye kelele? Hakuna kitu kama hicho, sijawahi kabisa.

Sasa unaweza kutuachia Cooment yako kuhusianan na Bifu hizi za wasanii wa bongo zinazozuka siku hadi siku.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.